Wagombea Urais Na Chagamoto Zinazowakabili

Wagombea urais ni wazuri sana katika kuzielezea changamoto zilizopo na kutoa ahadi ya jinsi watakavyozitatua. Lakini badala ya kuzitaja tu, wanapaswa waeleze ni namna gani wamejiandaa kukabiliana
na changamoto zake.

Uchaguzi wa mwaka huu unatarajiwa kuwa wa ushindani mkubwa katika historia ya Taiizania. Viongozi
wanaoonyesha kul eta ushindani mkubwa ni Edward Lowassa wa Ukawa na John Magufuli wa CCM.
Kampeni zinaendelea na wagombea wote wawili wanatoa ahadi kemkem za kile watakachokifanya endapo watachaguiwa.
Wanajigamba kuwa mabingwa wa kuweza kuzitatua changamoto na matatizo ya Watanzania.

Share on Google Plus

About Dady

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment