Dar es Salaam. Mwimbaji Christian Bella, amesema haarnini kania kwenye muziki kuna mambo ya ushirikina, bali kufanya bidii ndiyo njia pekee ya kupata niafanikio.
Bella alisema mashabiki wa muziki wanatambua msanii anayehangaika kuwaburudisha na huwa parnoja naye, huku wakiachana na asiyejiturna na wenye dharau. :
Alisema kuwa pamoja na muziki kumbeba mwenve bahati ya Kujituma ndiyo husaidia wasanii kupata mafanikio wakiwa kikundi au mwimbaji rnmoja mmoja.
Alifafanua kuwa kania waimbaji wote wangejituma kania anavyofanya yeye kungekuwa ili wasariii mahiri kwa sababu vip aji vipo vingi lakini wakitoka ii nyimbo mbili an tatu wanajisahau
"Kuna wasanii ukisikia hata ameshiriki kwenye kiitiko unatambua kuwa akipata nafasi atafanya vizuri,
akipata hiyo nafasi anaimba nyimbo kali mbili, akipata fedha na umaarufu ariaridhika, kosa kubwa hilo katika
kazi yoyote, kujituma, kusumbua akili ufanye nini kipya ndiyo mnyororo wa rnafanikio bila kikonio, "alisema Bella.anayetamba na wimbo "Amerudi".

0 comments:
Post a Comment