MLITAKA NIFE?:Lowassa Aeleza Alivyodhalilishwa Dodoma.

MGOMBEA urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anayeungwa rnkono na vyama viriavyounda Urnoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa,amewae!eza wananchi
wa Jimbo lake la Monduli fitina zilizotokea kwenye vikao vya uteuzi wa kuwania urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Huku akisikilizwa kwa makini, Lowassa alisema alilazimika kung'oka CCM kwani alidhalilishwa vya kutosha na kuhoji waliotaka aendelee kubaki CCM, walitaka afe?


Share on Google Plus

About Dady

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment