Wanafunzi watiwa mbaroni kwa kushiorikoi anasa

WANAFUNZI zaidi ya 500 walitiwa mbaroni Jumapili walipokutwa kwenye chumba cha starehe za watu wazima katika eneo maarufu Ia burudani mjini Eldoret wakishiriki anasa 'zinazowazidi' kuondoa maruweruwe ya 'likizo ya mgomo'.

Wanafunzi hao wa kati ya umri wa miaka 13 na 18 walinaswa katika Sam's Discotheque mjini Eldoret usiku wakati wa msako ulioendeshwa na maofisa wa polisi kwa ushirikiano na Bodi ya Kudhibiti Pombe na vileo
katika Kaunti ya Uasin-Gishu.


Share on Google Plus

About Dady

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment