SEPTEMBA 16 mwaka 2005, Serikali ya Tanzania ililitangaza rasmi eneo la Kitulo kuwa Hifadhi ya Taifa. Hifadhi hii ni muhimu sana katika ukuaji wa maendeleo ya kiuchumi nchini.
Awali, Kitulo ilijulikana kama Elton Plateau.
Mvumbuzi wake aitwaye Fredrick Elton alipita eneo hilo mwaka 1870.
Mwaka 1960 Shirika Ia Chakula na Kilimo Duniani (FAO), lilichukua eneo hilo kwa ajili ya shughuli za kilimo cha ngano na ufugaji wa kondoo.

0 comments:
Post a Comment