JKT OLJORO yaanza kuonia utamu FDL

TIMU ya JKT Oljoro ya jijini hapa, kwa mara ya kwanza imeonja radha ya ushindi tangu kuanza kwa Ligi
Daraja la Kwanza (FDL), baada ya kuinyong'onyeza Polisi Mara kwa bao 1-0 katika mchezo uliopigwa
dimba Ia Sheikh Arnri Abeid, mwishoni rnwa wiki.

Share on Google Plus

About Dady

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment