Tarime. Wanaume kadhaa wa eneo la Sirari, jana walishindana kupiga 'pushapu' rnbele ya mgombea mwenza wa urais wa CCM, SamiavSuluhu Hassan baada ya kuvutiwa na sera zake.
Hatua ya wariaume hao illsababisha kuvuma kwa kelele za shangwe katika uwanja wa
Tarafa, mahali mkutano wa kampeni wa mgombea huyo ulipofanyika.
Kabla ya 'pushapu' hizo ambazo zimepachikwa jina la Magufulika, Samia alinadi ilani ya CCM akisema imejipanga kuwawezesha wananchi kupiga hatua mbele Muchumi.
Alisema pamoja na kukusudia kujenga viwanda, pia wanakusudia kuboresha maeneo yenye fursa za kibiashara.
"Tunajua Soko la Remangwe bado linajengwa, tutahakikisha tunalikamilisha ili kutanua fursa za kibiashara
kwa Sirari na Mkoa wa Mara kwa ujumla," alisema Samia.
Pia, alisema wamepanga watakapofanikiwa kuingia madarakani kuanzisha mamlaka ya biashara ndogo itakayosimamia shughuli kaina vile za mama lishe na waendesha bodaboda.

0 comments:
Post a Comment