TBL yanoa madereva wake

KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL) imetoa mafunzo maalumu kwa madereva wake zaidi ya 200 kwa lengo la kuisaidia serikali kukabiliana na ajali za barabarani hapa nchini.

Katika mafunzo hayo yaliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam, mbali na mambo mengine
wamefundisha hatua muhimu za kukagua gari iii kuhakikisha usalama kabla ya kuanza safari.
Share on Google Plus

About Dady

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment